Kupaki gari kwa mpeleka polisi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kupaki gari kwa mpeleka polisi

Mlango unao daiwa ni ofisi ya Askari Polisi  na Askari  wa kampuni  ya Ulinzi ya SGA wanao linda Benk ya NBC maeneo ya Posta ya zamani Jijini Dar es Salaam

  Hapa  Askari wa kampuni  ya 
Ulinzi ya SGA kwa kushirikiana na Askari wa Jeshi  la Polisi wanao linda Benk ya NBC maeneo ya Posta ya zamani Jijini 
Dar es Salaam wakitoka nje na Dereva mwenye Gari lenye namba za Usajili T 662 BUK ambapo jina lake halikupatikana mara moja  wakiwa wamemshika na kumuingiza katika gari lililokuwa katika doria  baada ya kupigiwa simu na askari hao na kuondoka nae baada ya kile kinacho daiwa na mashuhuda wa tukio hili ni  kupaki eneo  la Benk na Dereva huyo kumuacha mwanamama katika gari na inadaiwa ni mke wa dereva huyo na kuhojiwa na askari kwa nini umepaki hapa? mara dereva aliporudi ndipo walijibishashana kwa kauli na kumuingiza katika ofisi hiyo na kuanza kumuhoji na kutokea mzozo mkubwa uliowafanya watu kutaka kujuwa kinachoendelea na ndipo gari hilo lilifika na kuondoka naye huku dereva wa gari  T 662 BUK, alisikika akisema humpati mkewangu huku akirudia rudia hadi alipokuwa akiondoa alisisitiza neno hilo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages