Joseph Sayi Mkurugenzi mkuu wa TV 1 Tanzania akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kuonesha mechi za ligi kuu ya Uingereza zitakazooneshwa kupitia kituo cha televisheni cha TV 1 ambacho kitapatikana kwenye king'amuzi cha Startimes pekee.
Gillian Rugumamu Meneja masoko wa TV 1 Tanzania akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kituo cha televisheni cha TV 1 kilivyojipanga kuonesha mechi za ligi kuu ya Uingereza itakayoaanza wiki ijayo, huku TV1 Tanzania ikipatikana kupitia ving'amuzi vya startimes pekee.
DR. Ricky Abdallah ambaye ni Mchambuzi wa masuala ya Soka Nchini akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa kuonyesha Mechi za ligi kuu za Uingereza zitakazokuwa zinaonyeshwa na kituo cha TV 1 kuanzia msimu huu huku kituo hiko cha TV1 Tanzania kikipatikana katika Ving'amuzi vya Startimes peke yake.
Meneja wa Uzalishaji wa Vipindi wa TV1, Mukhsin Mambo akionesha waandishi wa habari sehemu ya itakayotumika kurushia matangazo ya mechi za ligi ya Uingereza zitakazorushwa kupitia kituo cha Televisheni cha TV 1.
Tv1 Tanzania has
been granted a sub-license to exclusively air the upcoming 2016/17 season of
the English Premier League in Tanzania on free-TV, making the channel the only local
broadcaster with such rights.
The English Premier
League season kicks-off on Saturday, 13th August 2016. Tv1 Tanzania will air live matches every
Saturday evening up to the season finale in May 2017.
TV1 Tanzania
General Manager, Joseph Sayi said: “Sports content and football in particular, is
one of the most popular broadcast entertainment options here in Tanzania and across
the globe. This is why we Tv1 Tanzania through our licensed partners decided to
add the English Premier League to our portfolio of top quality programs.”
He added that this
is indicative of TV1 Tanzania’s commitment
to bringing quality entertainment into the living rooms of Tanzanians at
absolutely no cost. Tv1 Tanzania is a fast growing local channel that commenced
its operations in Tanzania in January 2014. The channel has invested in the free-TV
rights to air the English Premier League in an effort to broaden its scope of
content.
On her part, TV1
Tanzania’s Marketing Manager, Gillian Rugumamu said: “Having ascended to being one
of the leading entertainment channels in Tanzania within a short period of time
has enabled TV1 to establish a strong reputation for producing and sourcing the
best local and Pan-African content that resonates with the Tanzanian audiences,
therefore, we are delighted to bring the English Premier League for free to the
Tanzanian market and we expect this program to help us grow and broaden our
audience base especially among the younger demographic.”
She added that this
step will set a new standard for the choice of content available in Tanzania.
Irene Stanley, Tv1’s
Head of Programming said TV1 is broadening its spectrum from being a female
skewed entertainment channel by adding top-notch sports content such as the English
Premier League and other major sporting codes to be aired in the near future.
Along with the Premier
League content, TV1’s production team is preparing a grand sports studio
platform in anticipation of the main event from which previews, highlights and live
matches will be discussed using high technology equipment, renowned hosts and
seasoned production experts.
Production is
expected to be a big part of the proceedings featuring sports experts from Tanzania and abroad.
Tv1, is currently running
a campaign dubbed “Toroka Uje Tv1” which
loosely translated invites football viewers to[JS1]
tune in to Tv1 Tanzania, the only channel in the country that will be airing one
of the most prestigious football leagues in the world for free and
bringing Tanzanians than ever before,
access to the very best in sports programming.
TV1 is available
through StarTimes - channel 103, Azam - channel 119 and Ting - channel 36





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)