Mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya awali ya Brookhouse International Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mh. Mhandisi Stella Manyanya akitoa Hotuba kwa wanafunzi pamoja na wageni waalikwa
Mwalimu wa Taaluma wa Brookhouse International School Omega Kessy akitoa neno la utangulizi wakati wa mahafali hayo. 

Mkurugenzi Mkuu wa Sunrise Nursery and Primary School Bi. Marry Shirima akitoa maelezo ya kina juu ya shule hiyo, kumshukuru mgeni rasmi kufika katika mahafali hayo ya watoto wa shule ya awali pamoja kuwapongeza kwa kuhitimu

Mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya awali ya Brookhouse
International School Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na
Ufundi Mh. Mhandisi Stella Manyanya akimpa mmoja wa watoto cheti cha kuhitimu Elimu ya awali
International School Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na
Ufundi Mh. Mhandisi Stella Manyanya akimpa mmoja wa watoto cheti cha kuhitimu Elimu ya awali
Watoto wahitimu wa Shule ya awali wakiendelea kupokea Vyeti vyao 
Mh. Mbunge wa Jimbo la Kawe Halima Mdee akiwa katika mahafali hayo
Baadhi ya watoto wahitimu wa shule ya awali wakipata picha ya pamoja na mgeni rasmi 
Mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya awali ya Brookhouse
International School Naibu Waziri wa Elimu Mh. Mhandisi Stella Manyanya akiadhimisha siku yake ya Kuzaliwa hapa akimlisha keki Mkurugenzi mkuu wa Shule hiyo Mary Shirima
International School Naibu Waziri wa Elimu Mh. Mhandisi Stella Manyanya akiadhimisha siku yake ya Kuzaliwa hapa akimlisha keki Mkurugenzi mkuu wa Shule hiyo Mary Shirima

Wahitimu wa Shule ya awali wakionesha uwezo wao wa kusoma kwa makini

Wahitimu wa Shule ya awali wakionesha uwezo wao wakitoa Burudani kwa kucheza moja ya ngoma za asili za hapa Tanzania
Mshehereshaji katika mahafali hayo Mwalimu Isaria akiendelea kutoa utaratibu wakati wa Sherehe hizo
Watoto wa Shule ya awali ya Brookhouse International School ambao wanandoto ya kuja kuwa Marubani wakiwa wanaelezea juu ya ndoto zao 
Walimu nao hawakuwa nyuma waliendelea na Burudani

Baadhi ya wahitimu wa shule ya awali wakiwa katika sherehe yao

Baadhi ya wanafunzi wanaobaki wakiwa katika mahafali hayo

Wazazi wa watoto wanaosoma shule hiyo pamoja na wageni waalikwa wakiwa katika mahafali ya shule ya awali ya Brookhouse. Picha na Fredy Njeje wa Blogs za Mikoa

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)