MBUNGE WA ILEJE JANET MBENE AKABIDHI VIFAA VYA KAZI KWA JESHI A POLISW WILAYA YA ILEJE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MBUNGE WA ILEJE JANET MBENE AKABIDHI VIFAA VYA KAZI KWA JESHI A POLISW WILAYA YA ILEJE

 Mbunge wa Ileje Mh Janet Mbeneakipokea Risala kutoka kwa Ocd Wilaya Ileje
 Mbunge wa Ileje Mh Janet Mbene, akikabidhi Laptop kwa OCD wa Wilaya ya Ileje kw ajaili ya kusaidia kazi katika Wilaya hiyo
 Mbunge wa Ieje , Mh Janet Mbene, akikabidhi Matairi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi  Wilaya ya Ileje Hamida Mbogo
 Mbunge wa Ileje Mh Janet Mbene akipokea mkono wa shukrani kwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje  Joseph Mkude mara baada ya kukabidhi laptop, Photocopy Mashine, Matairi na lim tano

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages