Pages

Furahia Burudani ya ligi ya Bundersliga, China na Serie A kupitia Startimes Pekee....

Ni msimu wa Ligi kuu ya Ujerumani ijulikanayo kama Bundesliga inayotarajiwa kuanza tarehe 26 August 2016 kwa miamba ya Bayern Munich kukipiga na SV Werder Bremen.

Burudani ya Michuano ya Ligi ya Bundersliga utaipata kupitia startimes pekee. Burudika na michuano ya ligi kuu ujerumani na italy kupitia startimes pekee.

Pia utaweza kupata burudani ya ligi kuu ya China kupitia Startimes Pekee.

Nunua sasa dekoda ya Startimes kwa bei ya Shilingi 34,000 tu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)