Pages

Yaliyojiri usiku wa TBL Group MOTISHA Awards

 Wafanyakazi wakisheherekea ushindi wa tuzo ya Motisha kwa furaha
Burudani mbalimbali za muziki pia zilikuwepo
Kampuni ya TBL Group imewatunukiwa tuzo wafanyakazi wake tuzo ya MOTISHA kwa kutambua mchango mkubwa walioutoa kuleta mafanikio kwa kampuni katika kipindi cha mwaka uliopita.
 
Hafla ya kukabidhi tuzo zinazojulikana kama “Tuzo za Motisha za TBL Group” ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City   na ilihudhuriwa na wafanyakazi  zaidi ya 300 kutoka viwanda vyote vilivyopo chini ya kampuni hiyo kutoka mikoa ya Dar es Salaam,Kilimanjaro,Mbeya na Mwanza na kiwanda cha Mwanza kilitunukiwa tuzo ya ushindi wa jumla .

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)