Pages

News Alert: Rais JPM amteua Augustino Mrema kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Parole

Augustino Mrema.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania amefanya uteuzi mbalimbali leo na kupandisha vyeo baadhi ya maofisa wa polisi huku Agustino Mrema akiteuliwa Kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole kwa Kipindi cha Miaka mitatu. Uteuzi huo unaanza rasmi leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)