News Alert: Kituo cha Foreplan Clinic chafutiwa usajili - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

News Alert: Kituo cha Foreplan Clinic chafutiwa usajili

Baraza la tiba Asili na tiba mbadala limemfutia usajili tabibu JUMA MWAKA maarufu kama Dokta mwaka wa kituo cha FOREPLAN CLINIC huku likimsimamisha tabibu simon rusigwa wa kituo cha sigwa herbal clinic kwa kipindi cha miezi sita kwa kukiuka taratibu za utoaji wa huduma hizo.

Taarifa kamili inakuijia hivi punde

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages