Pages

Basi la mwendokasi lagongwa na gari dogo asubuhi ya leo

Gari la Mwendo wa haraka lenye namba za usajili T 968 DGV limegongwa na gari aina ya Cresta lenye namba za usajili T 295 BVC leo katika eneo la Kisutu jijini Dar es Salam.  Chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni Dereva wa gari dogo aina ya Cresta kutokuangalia vizuri wakati anavuka barabara ya mabasi yaendayo haraka katika eneo la Kisutu jijini Dar es Salaam.
 Gari aina ya Cresta lenye namba za usajili T 295 BVC linavyoonekana katika picha baada ya kugonga gari la mwendo haraka katika eneo la kisutu jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)