
Mwenyekiti wa zamani wa CUF, Prof. Lipumba amemwandikia Katibu Mkuu wa chama cha CUF barua ya kutengua uamuzi wake wa awali wa kujiuzulu Uenyekiti.
Pia akiongea na waandishi asema Bajeti ya mwaka wa Fedha 2016/17 yenye thamani ya zaidi ya trilioni 29.5 haiendani na uhalisia.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)