News Alert:Mbunge wa ukonga, Mwita Waitara (Chadema) ashinda kesi ya uchaguzi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

News Alert:Mbunge wa ukonga, Mwita Waitara (Chadema) ashinda kesi ya uchaguzi

Mbunge wa UKONGA Mh. Mwita Waitara (CHADEMA) ameshinda kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa Ubunge katika uchaguzi mkuu wa October 2015.

Kesi hiyo ilikuwa imefunguliwa na mgombea wa ccm Jerry Silaa. Hukumu hiyo imetolewa leo, muda mfupi uliopita na Jaji Fatma Msengi wa Mahakama kuu Dar es salaam.  

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages