Madereva TBL Mbeya wapata mafunzo ya udereva wa kujihami na utunzaji wa vyombo wanavyoendesha - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Madereva TBL Mbeya wapata mafunzo ya udereva wa kujihami na utunzaji wa vyombo wanavyoendesha

 Mtaalamu wa magari Herbet Kubu akiwaelekeza madereva jinsi ya kuangalia usalama wa injini ya gari na utunzaji za magari
Madereva waliohudhuria mafunzo hayo wakiwa katika picha ya pamoja na mkufunzi Herbet Kubu kiwandani Mbeya

Kampuni ya TBL Group katika mwendelezo wake wa kuzingatia usalama kazini imeandaa mafunzo kwa madereva wake wanaosambaza bidhaa zake yanayohusiana na udereva wa kujihami.Mafunzo hayo  yatafanyika kwenye viwanda vyote vya kampuni na yanaendeshwa na mtaalamu kutoka kampuni ya CFAO Motors Expert Herbert Kubu ambapo jana ujuzi huo umewafikia madereva wa kiwanda cha Mbeya

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages