Pages

KIPINDI CHA UNYAYO WANGU: DAVID MANOTI AZUNGUMZIA ADHABU YA WABUNGE WA UPINZANI BUNGENI

Unyayo wangu ni kipindi kipya kabisa kinachokujia kupita Tone Tv,
ambacho kinaletwa kwenu na Mtangazaji wetu Eddie Nyota , kinacholenga  shabaha ya watu waliothubutu kufanya jambo fulani katika jamii na  wanauelewa na jamii husika. Utajifunza mengina kuburudika pia kupitia  kipindi hiki Kinacholenga rika zote.
 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)