Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira (katikati) akifurahia jambo wakati Gwaride lilipokua likiendelea mara alipofika Chuoni hapo kufunga mafunzo ya wahitimu 156 wa Kozi ya Uongozi Daraja la Pili, Chuo cha Zimamoto na Uokoaji katika Kijiji cha Cogo kilichopo Wilaya ya Jimbo la Handeni Mkoa wa Tanga, kulia ni Mrakibu Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Athumani Rwahila na kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mmoja wa wahitimu hao pichani Abdallah Ulutu akiwa tayari ametunukiwa cheo chake
Wahitimu hao wakiwa katika Gwaride
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira (wa pili kushoto) akikagua Gwaride
Gwaride likipita mbele ya Mgeni Rasmi
Mgeni Rami katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Handeni Tanga, Husna Msangi wapili kushoto na kuanzia kilia ni Mrakibu Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Athumani Rwahila, Sajenti Damian Muheya ambapo ni Afisa habari wa Jeshi hilo na anae fatia ni Kamishna Jenerali Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)