[caption id="attachment_72246" align="alignnone" width="800"]
Moja ya gari likikaguliwa kwenye karakana ya Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam na mafundi wa kampuni hiyo.
Baadhi ya mafundi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam wakikagua magurudumo katika moja ya magari yaliofika kufanyiwa uchunguzi wa kiufundi kwenye karakana yao.
Baadhi ya mafunzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam wakikagua magurudumo katika moja ya magari yaliofika kufanyiwa uchunguzi wa kiufundi kwenye karakana yao.
Baadhi ya mafunzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam wakilifanyia uchunguzi kiufundi moja ya gari lililofika kwa service kwenye karakana yao.
Baadhi ya mafunzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam wakikagua magurudumo katika moja ya magari yaliofika kufanyiwa uchunguzi wa kiufundi kwenye karakana yao.
Mgeni rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kushoto) akipata maelekezo toka kwa wataalamu katika uzinduzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam.
Moja ya gari likikaguliwa kwenye karakana ya Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam na mafundi wa kampuni hiyo.
-

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)