Je, unateseka na msongo wa Mawazo? Je, unajua watu ambao wateseka? Unaweza kuokoa maisha leo!
Video hii inatahadharisha kuhusu afya ya akili watu mbalimbali wanapatwa na matatizo haya ya akili yanayowapelekea kuchukua maamuzi mabaya yakiwemo hata kuchukua hatua ya kujiua.
#Kwenye kampuni ya METL inaamini, kwamba wafanyakazi wake ni mali yao hivyo inawapatia elimu hii na inaendelea kuwasaidia kwani wasingeweza kufikia hapo bila watu wake hao.
Kamwe hujachelewa kuomba msaada andika maoni yako na tuendeleze mjadala huu.
"it's never too late to get help,Write your views in the comments and let's take this discussion ahead."
Nawe msomaji wetu unaweza kuandika maoni yako na tuendeleze mjadala huu, baada ya kuiona video hii hapa chini:
Video:
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo watu wake wanakabiliwa na matatizo ya akili huku wengi wa wanaopatwa na matatizo haya ukimbizwa kwa waganga wa kienyeji kupatiwa tiba za asili wakiamini kuwa wamelogwa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)