Green house kutoka balton zina ukubwa wa mita 9 kwa mita 15, Ni za chuma na zinadumu kwa miaka muda sio chini ya miaka 15, Ni Imara sana
Kwa kilimo cha uhakika na cha kisasa unahitaji Green House kama hii ambayo inauzwa bei nzuri tu
Ukinunua hii utafungiwa mahali popote utakapo wewe mteja na pia utapatiwa ushauri wa kitaalamu na utalekezwa vizuri kuhusiana na muda mzuri wa uzalishaji na maelezo kedekede
Green House iliyotengenezwa kwa vyuma na kufunikwa kwa plastic sifa yake moja tu inaweza kuhamishika kutokana na mahitaji yako lakini pia Ina Uwezo mkubwa wa kuzalisha mazao hivyo kukusaidia kurudisha pesa yako ndani ya msimu mmoja wa kuzalisha lakini pia hutumia gharama ndogo katika uzalishaji wa mazao.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii +255 784 529 410
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)