Bei mpya ya mafuta ya petrol na diesel yaanza kutumika leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Bei mpya ya mafuta ya petrol na diesel yaanza kutumika leo

20160601_130332
 June 1, 2016 Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA) imetoa bei mpya za mafuta ya taa na mafuta ya Petrol, Diesel katika masoko yote ya jumla na rejareja zimeanza kutumika leo.
Mkoa ambao unaonekana kuwa na bei nafuu kati ya hizi ni Tanga mjini ambapo bei ya kikomo ni Sh.1795/= kwa petrol  huku bei ya juu Sh.1802/= katika wilaya ya Pangani,Mkoa mwingine ambao unaonekana kuwa na bei ya juu zaidi ni Kigoma ambapo kama ilivyokuwa mikoa mingine ya mipaka Lita moja ya petrol inauzwa kwa zaidi ya sh.2000/=huku wilaya ya Uvinza ikiwa zaidi ya Sh.2108/=.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages