Pages

Uzinduzi wa mashindano ya UMISSETA Copa Coca Cola wafana

 Ofisa Masoko Msaidizi wa Coca Cola  Mariam Sezinga akizungumzia udhamini wa mashindano haya
 Mkuu wa mkoa akipiga mpira kuashiria uzinduzi wa mashindano hayo
 Mratibu Michezo kutoka TAMISEMI, Idara ya Elimu nchini, Salum Mkuya
 Umati wa wanafunzi waliohudhuria
 wanafunzi wakipokea vifaa vya michezo kwa niaba ya shule zao
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akihutubia wadau wa michezo na wanafunzi wakati wa Uzinduzi wa mashindano ua UMISETA ambayo mwaka huu yamedhaminiwa na kampuni ya Coca Cola.Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa Sokoine ambapo kulifanyika michezo mbalimbali na burudani za kila aina zilikuwepo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)