All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa
Pages
▼
Tetesi: Kuna mfanyabiashara akamatwa na tani 4900 za Sukari Mbagala
Kuna taarifa inasema kuwa kuna Mfanyabiashara mmoja akamatwa na tani 4,900 za sukari huko Mbagala, Dar na kikosi kazi kilichoundwa kufanya upekuzi kwa wafanyabiashara walioficha sukari. Tunaendelea kufuatilia tukio hili na tutawajulisha
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)