
Ofisa Masoko Msaidizi wa Coca Cola Mariam Sezinga akizungumzia udhamini wa mashindano haya

Mkuu wa mkoa akipiga mpira kuashiria uzinduzi wa mashindano hayo

Mratibu Michezo kutoka TAMISEMI, Idara ya Elimu nchini, Salum Mkuya

Umati wa wanafunzi waliohudhuria

wanafunzi wakipokea vifaa vya michezo kwa niaba ya shule zao

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akihutubia wadau wa michezo na wanafunzi wakati wa Uzinduzi wa mashindano ua UMISETA ambayo mwaka huu yamedhaminiwa na kampuni ya Coca Cola.Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa Sokoine ambapo kulifanyika michezo mbalimbali na burudani za kila aina zilikuwepo.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)