Wanafunzi wakipokea vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Coca Cola
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akikagua moja ya timu iliyoshiriki mashindano ya uzinduzi
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akijiandaa kupiga mpira wa penati wakati akizindua michezo ya Shule za Sekondari (COPA UMISSETA) kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick(kulia)akipokelewa na Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa kampuni ya Coca Cola,Bonite ya mjini Moshi,Christopher Loiruk alipowasili kuzindua michezo ya COPA UMISSETA kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akipokea zawadi ya mpira wa miguu kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa kampuni ya Coca Cola,Bonite ya mjini Moshi,Christopher Loiruk baada ya kuzindua michezo ya Shule za Sekondari( COPA UMISSETA) kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola,wanaoshuhudia ni viongozi mbalimbali wa michezo.
Mkuu wa Masoko wa kiwanda cha Coca Cola cha mjini Moshi ,Christopher Loiruk akielezea udhamini wa mashindano hayo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)