Kushoto ni Meneja wa kituo cha Radio cha 91.9 HHC ALIVE cha Jijini Mwanza, Maganga James Gwensaga, akizungumza katika tamasha la kusaka Vipaji vya Utangazaji (HHC ALIVE TALENT SEARCH 2016) lilizofanyika katika Kanisa la HHC Cathedral, Ilemela Mkoani Mwanza.
Watangazaji chipukizi, Hellen Jerome, Ibrahim Mgaya pamoja na Deophinius Salvatory, wameibuka kidedea katika tamasha la kusaka Vipaji vya Utangazaji lililoandaliwa na kituo cha redio cha 91.9 HHC Alive cha Jijini Mwanza. Picha zaidi BONYEZA HAPA





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)