Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa Dk.Richald Gellman kutoka Califonia - San Fransisco Marekani (kushoto), akiwaonesha kifaa Chuma, maalumu kinacho tumika kufanya marekebisho ya mifupa iliyo pinda baada ya kuunga vibaya au kutounga kabisa, madaktari mbalimbali kutoka nchi mbalimbali , Kenya, Burundi, Rwanda, Zambia, DRC Congo, Nigeri, Zimbabwe na wenyeji wao Madaktari wa Taasisi hiyo wamehudhuria Mkutano huo utakaomalizika Juni 3, 2016 , unaendelea katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mifupa ya Fahamu Muhimbili (MOI) Dar es Salaam leo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Pichani ni baadhi ni vifaa
Madaktari Bingwa wakiwa katika chumba cha mikutano katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Moi
Mmoja wa Maktari Bingwa wa Taasisi hiyo mwenye miwani mbele Dk. Moonlight Mnyenye akiandika jambo wakati wa mkutano huo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)