Ajali ya Basi la Luxury Coach na Fuso iliyotokea Manyoni yapoteza maisha ya dereva wa lori - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Ajali ya Basi la Luxury Coach na Fuso iliyotokea Manyoni yapoteza maisha ya dereva wa lori

Basi la Leo Luxury Coach limepata ajali ya kugongana na fuso hapa Manyoni, dereva wa fuso amefariki. Abiria wa basi wote wazima, inasemekana fuso lilikosa breki wakati likishuka mlima. 
Sehemu hii ilipotokea ajali hii inatwa Mbwasa chini ya mlima Sukamahela kuna mteremko mkali na kona kali kama inavyoonekana na mara nyingi madereva wakishamaliza mlima wakiwa wanateremka hua wanaachia breki bila kujali kona ya hapo. 
Baadhi ya abiria waliokuwa kwenye basi ilo wakiwasiliana na ndugu na jamaa yao
Fuso likiwa limetumbukia bondeni

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages