Pages

Yaliyojiri uzinduzi wa mashindano ya COPA UMISSETA mkoani Mwanza

 Wanafunzi kutoka shule mbalimbali za sekondari mkoani Mwanza walihudhuria
 Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza, Hamis Maulidi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
 Meneja masoko wa wa kampuni ya vinywaji baridi ya Cocacola Kanda ya Ziwa, Marco Masaka akizungumza katika uzinduzi huo.
 Mkuu wa mkoa wa Mwanza.John Mongella akipokelewa na viongozi na wadau wa michezo alipowasili uwanja wa CCM Kirumba kuzindua mashindano ya COPA UMISSETA
 Katibu wa Baraza la Michezo la Taifa(BMT), Mohamed Kiganja akizungumza katika uzinduzi wa mashindano hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella akipiga mpira  kuzindua mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (COPA UMISSETA) ambayo yanadhaminiwa  na kampuni ya vinywaji ya Cocacola jana kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)