TBL Group yachangia mradi wa elimu Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TBL Group yachangia mradi wa elimu Dar es Salaam

 Baadhi ya magari ya wafanyakazi yakioshwa kwa ajili ya kuchangia mradi wa elimu
Kampuni ya TBL Group imeunga mkono mradi wa kuendeleza elimu jijini Dar es Salaam ambapo mwishoni mwa wiki imewanunulia tiketi wafanyakazi wake  ili waoshe magari yao ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Rotary Club ya Mikocheni  kuchangia fedha za  kununua vitabu vya  maabara ya shule ya msingi Mkunguni iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 

Uoshaji wa magari ni moja ya njia iliyotumika kuchangia mradi huo ambapo walionunua tiketi hizo za mchango walipata fursa ya kuoshewa magari yao katika gereji ya Auto experts Tanzania  iliyopo jijini.
Mchango wafanyika kupitia wafanyakazi wake kuoshewa magari yao

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages