NOAH YAACHA NJIA BANDARINI JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTUMBUKIA KWENYE MTARO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NOAH YAACHA NJIA BANDARINI JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTUMBUKIA KWENYE MTARO

 Mwananchi wakiangalia ajali ya Noah yenye namba za usajili T 367 DAK iliyoacha njia na kutumbukia kwenye mtaro jirani na Kanisa la Mtakatifu Joseph, Bandarini Dar es Salaam jana asubuhi.
 "Ni kama anaongea maskini mmiliki wa Noa hii hivi watu waliokuwa wamepanda wamesalimika ?"
 Noa ikiwa mtaroni. Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages