News Alert: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anna Kilango Malechela atumbuliwa na rais Magufuli - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

News Alert: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anna Kilango Malechela atumbuliwa na rais Magufuli

Anna Kilango Malechela

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, mchana huu ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anna Kilango Malecella, kwa kubaini kuwa alimwambia uwongo kuwa Mkoa wake hauna wafanyakazi hewa.

Pia amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mkoa huo.

HABARI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages