Pages

MWANAHABARI JOSEPH HAULE AUKIMBIA UKAPERA BAADA YA KUFUNGA NDOA NA DELPHINA MGESI KANISA LA EAGT TUNGI KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwanahabari Joseph Haule ambaye kwa sasa ni askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Joseph Haule akiwa katika ibada ya ndoa yake.
 Bibi Harusi, Delphina Joseph Haule Mgesi akiwa katika ibada ya ndoa yao na mume wake Joseph.
 Wanandoa hao wakiwa katika pozi.
 Mchungaji Sostenes Langula wa Kanisa la Evangelist Assemblies of God (EAGT) la Kiluvya Malango ya Mbinguni (kushoto), akifungisha ndoa hiyo.
 Bwana harusi Joseph Haule akimvika pete mke wake Delphina Mgesi wakati wa kufunga ndoa yao.
 Bibi Harusi Delphina Mgesi (kulia), akimvika pete ya ndoa mume wake Joseph Haule.
 Kaka yake Bwana harusi (mwenye suti katikati), akimtambulisha Joseph Haule kwa ndugu zake na mke wake.
 Watoto watoa burudani katika harusi hiyo wakiwa kwenye ibada hiyo ya ndoa.
 Taswira katika ibada hiyo ya ndoa.
 Viongozi wa Kanisa hilo wakiwa kwenye ibada hiyo ya ndoa.
 Maharusi hao wakiwa na wapambe wao wakati wa ibada hiyo ya ndoa. Kushoto ni Mpambe wa Bwana Harusi Lameck Hussein na kulia ni Mpambe wa Bibi Harusi, Jacqualine Hussein.
 Taswira ndani ya kanisa hilo wakati wa ibada hiyo.
 Askofu Nicodemas Nyenye wa Kanisa hilo (wa pili kushoto), akiwafanyia maombi wanandoa hao baada ya kufunga ndoa akishirikiana na viongozi wenzake.
 Bwana harusi Joseph Haule akitia saini kwenye shahada yake ya ndoa. Anayeshuhudia kushoto ni mke wake kipenzi, Delphina Mgesi.
 Askofu  wa Kanisa hilo, Nicodemas Nyenye akiwapongeza wanandoa hao.
 Mwanahabari Joseph Haule na mke wake Delphina Mgesi, wakionesha shahada yao ya ndoa, baada ya kufunga pingu za maisha, Kanisa la Evangelist Assemblis of God Tanzania (EAGT) la Patimos Tungi, Kigamboni, Dar es Salaam jana. Bwana harusi ambaye hivi sasa ni askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), alikuwa mwandishi wa gazeti la Jambo Leo
 Waumini na wageni waalikwa wakiwa wamejipanga foleni wakati wakienda kuwapongeza wana ndoa hao.
Kwaya ikitoa burudani.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)