LA KWETU CONCERT, TAMASHA KUBWA LA MUZIKI WA INJILI 2016 KUFANYIKA NCHINI TANZANIA. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

LA KWETU CONCERT, TAMASHA KUBWA LA MUZIKI WA INJILI 2016 KUFANYIKA NCHINI TANZANIA.

Linatarajiwa Kufanyika Tamasha Kubwa la Muziki wa Injili hapa nchini. Tamasha hilo limepewa jina la "LA KWETU CONCERT" na litafanyika katika Mikoa mbalimbali ikiwemo Mwanza, Geita, Kagera, Shinyanga, Mbeya, Arusha, Dar es salaam na mingineyo.

Tamasha hilo linaandaliwa kwa Ushirikiano na Waimbaji wa Muziki wa Injili, Watangazaji na Waandishi wa Habari chini ya Kampuni ya FAMARA INTERTAINMENT ya Jijini Mwanza, ambapo wadau mbalimbali wanakaribishwa ili kufanikisha tamasha hilo ambalo litakuwa la aina yake.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages