Mwendesha mitambo ya Upishi wa vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda cha Bia Tanzania( TBL) James Mruma akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Chuo cha Air Tanzania Training Institute (ATCL) ,wanaosoma kozi ya kutoa huduma ndani ya ndege (Cabin Crew) wakati walipotembelea katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar es Salaam jana kwa ziara ya mafunzo ya usalama wa abiria pamoja na Afya zao.
Wanafunzi wa Chuo cha Air Tanzania Training Institute (ATCL) , Kiongozi wa timu ya upishi vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda cha Bia Tanzania( TBL) Andrew Mugasha wakati walipofanya ziara ya mafunzo katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar es Salaam.
08. Kiongozi wa timu ya upishi vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda cha Bia Tanzania( TBL) Andrew Mugasha ,kulia akimsikiliza mmoja wa wanafuzi wa Chuo cha Air Tanzania Training Institute (ATCL) alipotaka kujua hatua mbalimbali za uzalishaji vinywaji wakati wa ziara ya mafunzo kwenye kiwanda cha TBL cha ilala jana.
Mtaalamu wa kuzalisha bia katika kiwanda cha TBL , Emmanuel Sawe akitoa maelezo kwa wanafuzi wa Chuo cha Air Tanzania Training wakati walipofanya ziara ya mafunzo kiwandani hapo jana.
13.Kiongozi Mkuu wa Wafanyakazi wa Ndege wa Shirika la ATCL, Margaret Makwaia akimuuliza swali Mpishi wa bia,Jastino Jekela (kushoto) juu ya uzalishaji wa vinywaji vinavyozalishwa na Tbl wakati wa ziara ya mafunzo.
Baadhi ya wanafuzi wa Chuo cha Air Tanzania Training Institute (ATCL) , wakifuatilia hatua mbalimbali za utengenezaji viywaji wakati walipofanya ziara a mafunzo kwenye kiwanda cha TBL cha Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)