Pages

Taarifa za msiba wa Zebedayo Maingu Mafuru

Sky background. Sky and clouds background.Sky.
Zebedayo Maingu Mafuru enzi za uhai wake.
Ndugu Asheri Mafuru, anasikitika kutangaza kifo cha ZEBEDAYO MAINGU MAFURU wa KIBAMBA DAR ES SALAAM, KILICHOTOKEA KIBAMBA DAR ES SALAM ALFAJIRI YA TAR. 23/03/2016.

Habari ziwafikie MAMA MZAZI RAHEL BISWALO WA KIBARA BUNDA, BABA MDOGO WA MAREHEMU GALIGWA MAFURU WA MRANGI MUSOMA, ONESMO NYABUGIKA WA MGANGO MUSOMA, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO.

MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU KIBAMBA JIJINI DAR ES SALAAM.

MAZISHI YATAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU JUMAMOSI TAREHE 26/03/2016.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)