Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha(katikati)akimsikiliza Meneja wa Vifungashio(Packaging Manager) wa kiwanda cha TBLmkoa wa Arusha,Joseph Mwaikasu katika ziara aliyoifanya kiwandani hapo,kulia ni Katibu wa Naibu Waziri Jeremia Temu
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha (kushoto) akimsikiliza Meneja wa Kiwanda cha TBL cha Arusha, Mhandisi Salvatory Rweyemamu (kulia) alipotembelea kiwanda hicho
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha (wa pili kulia) akimsikiliza Meneja Mauzo wa kiwanda cha TBL cha Arusha Davis Deogratius (kushoto)alipotembelea kiwanda hicho ,wengine kwenye picha ni Maofisa wa Meneja wa Kiwanda
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha (wa kutoka kushoto) akifuatilia kwa makini mada kuhusu zao la Shayiri linalotumiwa katika uzalishaji kwa wa bia wakati alipofanya ziara kwenye kiwanda cha TBL mkoani Arusha,kushoto ni Meneja Uzalishaji wa kiwanda hich Mhandisi Salvatory Rweyemamu.
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,Mh.William Ole Nasha na ujumbe wake (wa pili kutoka kushoto) akimsikiliza Meneja wa Vifungashio (Packaging Manager) wa kiwanda cha TBL cha Arusha Arusha,Joseph Mwaikasu katika ziara aliyoifanya kiwandani hapo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)