Belinda Mlingo Katibu wa NGO ya TASOI
Dr Chris Mauki Kutoka chuo Kikuu cha Dar essalaam
Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership
washiriki
Bidhaa mbalimbali
Bidhaa mbalimbali za vipodozi
Bidhaa mbalimbali
Burudani mbalimbali
Bidhaa mbalimbali
wakisalimiana
Baadhi ya wanawake waliohudhuria katika Kongamano wakifurahia jambo
Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8

upande wa Kushoto ni Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership na upande wa kulia Belinda Mlingo Katibu NGO ya TASOI

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)