Pages

Basi la Princess Muro lapata ajali Kimara usiku wa jana, na kuvamia kituo cha mabasi yaendayo kasi

 Basi la kampuni ya Princess Muro lapata ajali baada ya kupoteza mwelekeo na kuingia kituo cha Magari ya Mwendo kasi Kimara jijini Dar es Salaam.Endelea kufuatilia taarifa zetu tutakujuza kwa kina taarifa hii.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)