Waziri
wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiongea na
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose alipomtembelea
ofisini kwake leo (17/3/2016) jijini Dar Es Salaam kwa mazungumzo.
Balozi
wa Uingereza nchini Mhe. Dianna Melrose akizungumza na Waziri wa
Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe wakati balozi huyo
alipomtembelea ofisini kwake kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu
sekta ya sheria nchini.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)