Wauzaji wadogowadogo wa bidhaa za TBL Group wapigwa msasa wa elimu ya biashara,Ni kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa mafanikio - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wauzaji wadogowadogo wa bidhaa za TBL Group wapigwa msasa wa elimu ya biashara,Ni kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa mafanikio

 Wamiliki wa biashara za vinywaji  wa mjini Moshi wakimsikiliza mtaalamu wa masuala ya uendeshaji biashara,Nyakahija Manyama  wakati wa mafunzo maalumu ya kuboresha biashara zao  yaliyoandaliwa na kampuni ya TBL Group na kufanyika katika hoteli ya Leopard ya mjini Moshi yaliyomalizika mwishoni mwa wiki.
Wahitimu wa mafunzo haya wakiwa katika picha  baada ya kutunukiwa vyeti

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages