Pages

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MHE. MWIJAGE ATEMBELEA TBL


Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Charles Mwijage(kulia) akipata maelezo kwa mwendesha mitambo wa kampuni ya TBL, Mecky Mlay alipotembelea mitambo ya uzalishaji wa bia kwenye kiwanda hicho. Kulia (kwake) ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Roberto Jarrin na Meneja wa Kiwanda cha Dar es Salaam, Calvin Martin.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Charles Mwijage(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kiwanda cha Dar es Salaam, Calvin Martin

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Charles Mwijageakifuahia jambo aliowasili kwenye mitambo ya uzalishaji wa bidhaa za TBL.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Charles Mwijage(kushoto) akipata maelezo kwa mmoja wa wafanyakazi wa TBL alipotembelea mitambo ya uzalishaji wa bia kwenye kiwanda hicho. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Roberto Jarrin na Meneja wa Kiwanda cha Dar es Salaam, Calvin Martin. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)