Pages

Waziri wa Mambo ya nje, Dkt Mahiga akutana na mwakilishi mkazi wa Shirika la UNICEF

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashiriki, Kikanda na  Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.)  akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto  (UNICEF), Bi. Maniza Zaman alipokuja Wizarani kwa ajili ya kuwasilisha  Hati za Utambulisho wake kwa Mhe. Waziri Mahiga.
 Maafisa wa wizara, wakinakili yaliyojiri kwenye mazungumzo yao

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashiriki, Kikanda na  Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.)  akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto  (UNICEF), Bi. Maniza Zaman alipokuja Wizarani kwa ajili ya kuwasilisha  Hati za Utambulisho wake kwa Mhe. Waziri Mahiga.
 Balozi Mahiga, akipokea hati hiyo kutoka kwa Bi.Maniza
Balozi Mahiga na mgeni wake wakipozi kwa picha

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)