Pages

WAZIRI WA AFYA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO UMMY MWALIMU AKIZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA MADAKTARI NA WAKUU WA IDARA WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, akizungumza na Waandishi wa Habari kabla ya kufungua Mkutano wa Madaktari na Viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk. Ulisubisya Mpoki na Kulia ni Profesa Mohammed  Janabi. (PICHA ZOTE NA UJIJIRAHAA BLOG)
 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu (kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Daktari  Bingwa wa Upasuaji Moyo Watoto, Godwin Godfrey  mara alipotembelea Wold ya watu waliokweisha fanyiwa Matibabu ya magonjwa hayo. kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk. Ulisubisya Mpoki
 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, akizungumza na Madaktari na Wakuu wa Idara mbalimbali wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam, kuanzia  kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Hamisi Kigwangala, Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa. Lawrence Museru
   na  kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk. Ulisubisya Mpoki

 Daktari Bingwa wa Hospi Primusi Saidia akizungumza jambo katika Mkutano huo na kuwaomba madaktari na wakuu waida wanao mkuli Kaimu
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Prof. Lawrence Museru
  aongezewe muda wanyooshe mikono
 Baadhi ya Madaktari na Wakuu wa Vitengo wakinyoosha mikono mbele ya Waziri wa Afya  wakiashiria kumkuli Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Prof. Lawrence Museru aongezewe muda na Rais Magufuli na ameonyesha jicho la tatu katika wote viongozi waliopita katika Hospitali hiyo kuwashinda baada ya Daktari Bingwa Dk. Primusi Saidia alipokuwa akizungumza katika Mkutano huo
 Daktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Kissa Mwambene akizungumza katika Mkutano huo












No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)