Pages

WANAYANGA NA WADAU WA TIMU HIYO WAHIMIZWA KUTUMIA KADI ZA ATM ZA BENKI YA POSTA TPB

Meneja Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Grace Majige akizungumza na waandishi wa habari kuhusu umuhimu wa wadau wa Yanga kutumia kadi za ATM za Yanga. Mkutano huo na wanahabari ulifanyika kwenye ofisi za benki hiyo tawi la Kariakoo jijini Dar es Salaam, Januari 19, 2016. Wengine pichani kushoto ni Mkuu wa Masoko wa benki hiyo, Omary Kaya, na Afisa Habari na Mawasiliano wa beki hiyo, Timotheo Mwakifulefule

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)