Pages

Wafanyakazi waliotumikia TBL Group kwa kipindi kirefu wapongezwa

 Mkurugenzi wa Ufundi wa TBL Group kanda ya Afrika Mashariki Gavin Van Wijk, akiongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya kuwapongeza , kuwatunu vyeti na zawadi wafanyakazi walioitumikia kwa muda mrefu
 Meneja wa TBL Group wa kiwanda cha Bia cha Dar es Salaam,Calvin Martin akiongea na wafanyakazi katika hafla hiyo iliyofanyika jana jijini DaresSalaam
 Mkurugenzi wa Ufundi wa TBL Group kanda ya Afrika Mashariki Gavin Van Wijk (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wafanyakazi waliotumikia kampuni ya TBL kwa muda mrefu Sylivester Kunambi wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi wa Ufundi wa TBL Group kanda ya Afrika Mashariki Gavin Van Wijk (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wafanyakazi waliotumikia kampuni ya DarBrew(Chibuku) kwa muda mrefu Leonora Nyalusi wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam
 Wakurugenzi waandamizi wa idara mbalimbali za kampuni ya TBL Group walikuwepo kwenye hafla hiyo.
 Wafanyakazi wa TBL group wakifuatilia matukio wakati wakati wa hafla hiyo.
Wafanyakazi wa kampuni ya TBL wakiserebuka  wakati wa hafla hiyo.

Kampuni ya TBL Group ambayo ni kampuni mama ya kampuni ya bia nchini,Konyagi na Chibuku jana iliandaa hafla ya kuwatunukia vyeti na zawadi wafanyakazi walioitumikia kwa muda mrefu katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)