Pages

Tamasha la kuonja wine za kampuni ya konyagi lafana

 Burudani ikitolewa
 Wageni waalikwa wakibadilishana mawazo
 Mdau akionja kinywaji kutoka Konyagi
Washindi wakipokea zawadi mbalimbali
 Wadau wakipata burudani
Kampuni ya Konyagi ambayo ni kampuni tanzu ya TBL Group hivi karibuni iliandaa tamasha la kuonja vinywaji  vya wine vinavyotengenezwa na kampuni hiyo yenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam.
 
Tamasha hilo lilolofanyika katika hoteli ya Southern sun ya jijini Dar es Salaam lilikuwa kivutio kwa watu wengi na walouhudhuria walipata burudani za kila aina na kufurahia ubora wa vinywaji vya kampuni hiyo bila kusahau kucheza muziki,kupata maakuli na kujishindia zawadi mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)