Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye
alipokwenda
kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali
ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Jumatatu Januari 11,
2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye na Mama Esther Sumaye
alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Jumatatu
Januari 11, 2016
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)