Pages

Filamu ya Wema ni akiba yakamilika

 Filamu ya Wema ni akiba yake mwanamama Jennifer Mgendi imekamilika.

Akiongea na blogu hii Jennifer amesema filamu hiyo ambayo
imewashirikisha wasanii na watumishi mbalimbali ni stori inayomhusu
kijana Mawazo anayepambana na changamoto nyingi akijaribu kulipa deni la fadhila kwa Eli alizotendewa ujanani na baba yake Eli.

Fuatana naye katika filamu hii ili kupata undani wa mkasa huu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)