Pages

EDWIN HAMLI NA ISABELLA MUSHI WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM

???????????????????????????????????? 
 Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi kwa picha mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe na kufuataia na hafla ya kukata na shoka kwenye ukumbi wa Water Front jijini Dar es salaam usiku huu, hafla hiyo imehudhuriwa na ndugu marafiki na jamaa wa maharusi katika kufanikisha.???????????????????????????????????? Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakivishana pete wakatia walipofunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe leo.???????????????????????????????????? 
baadhi ya wasimamizi wa harusi hiyo wakishiriki ibada ya harusi hiyo kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe jijini Dar es salaam???????????????????????????????????? Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi wakiwa na waimamizi wao mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe???????????????????????????????????? 
Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakionyesha vyeti vya ndoa mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe???????????????????????????????????? Mdau Chilumba akiwa mna wageni waalikwa wengine waliohudhuria katika hafla hiyo.???????????????????????????????????? Mdau Kombe pamoja na wadau wengine wakiwa katika hafla hiyo.???????????????????????????????????? Maharusi Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi kwa picha kwenye ukumbi wa Woter Front mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe???????????????????????????????????? Bi. Harusi Isabella Mushi na waalikwa wakicheza muziki kwenye ukumbi nwa Woter Front.???????????????????????????????????? Mdau Kombe akiserebuka pamoja na wageni waalikwa wengine katika hafla hiyo.???????????????????????????????????? Mdau Chilumba wa pili kutoka kulia na Hassan Mabuyu wa pili kutoka kushoto wakiserebuka kwa muziki.???????????????????????????????????? Kutoka kulia ni mdau Willy Mwenyekiti wa kamati Kombe mjumbe wa kamati, Merkior mjumbe na Gasper mjumbe wakipozi kwa picha. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)