DC Mtaka akiongozana na Balozi Kaarstad kuelekea ofisini kwake. |
Mkurugenzi wa Chuo cha Ufundi cha Arusha ,Dkt Richard Masika akiteta jambo na Balozi wa Norway Kaarstad ofisini kwa mkuu wa wilaya ya Hai. |
Mkuu wa wilaya ya Hai ,Anthony Mtaka akizungumza na ugeni wa balozi wa Norway ofisini kwake . |
Baloozi Kaarstad akimueleza jambo DC Mtaka. |
Ugeni wa Balozi wa Norway ukiwa umetembelea kivutio cha Utalii cha Chemka ambako kuna Chemichemi ya maji yenye uvuguvugu ambako watalii wamekuwa wakitembelea na kuogelea. |
Kivutio cha Utalii cha Chemka ambacho maji yake yanatokana na Chemichemi . |
Mooja ya mioundo mbinu katika kituo cha kufulia umeme cha Kikuletwa. |
Balozi Kaarstad akiongozwa kutembelea maeneo mbalimbali katika kituo cha Kufulia umeme cha Kikuletwa. |
Sehemu ya Mitambo ya kufua umeme katika kituo cha Kikuletwa inavyoonekana kwa sasa baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kufanya kazi. |
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akizungumza jambo na Mkurugenzi mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Profesa Idd Mkilaha walipkutana wakati wa kutembelea Kituo cha kufua umeme cha Kikuletwa. |
Ugeni wa Balozi wa Norway Kaarstad ukitembelea maeneo mbalimbali ya mradi huo . |
Mkurugenzi wa Chuo cha Ufundi cha Arusha,Dkt Masika akimuonesha Balozi Kaarstad mfereji mkuu wa kupeleka maji katika kituo cha kufua umeme cha Kikuletwa. |
Kazi ya uondoaji tope ikiendelea katika mfereji huo. |
Sehemu ya maporomoko ya maji yanayotiririka katika mto Kikuletwa. |
Balozi wa Norway ,Henne-Marie Kaarstad akizungumza na wanahabari katika eneo ambalo maji yanapita kwa kasi katika mto Kikuletwa. |
Ugeni wa Balozi wa Norway ukitizama moja ya mito inayotirisha maji kuelekea katika kituo cha kufua umeme cha Kikuletwa. |
Mto unaotenganisha wilaya ya HAi na Simanjro mkoani Manyara unaopeleka maji katika kituo cha kufua umeme cha Kikuletwa. |
DC Mtaka akimuongoza balozi Kaarstad kupita katika moja ya daraja lilopo eneo la mradi . Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)