Pages

Aliyekuwa Mkurugenzi wa michezo Jeshi la Magereza Tanzania na Kocha wa zamani wa Tanzania Prison azikwa leo

Baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Mbeya, wakiongoza shughuli ya Mazishi ya aliyekuwa mkurugenzi wa michezo Jeshi la Magereza Tanzania na Kocha wa zamani wa kikosi cha Tanzania Prison, Marehemu Hassan Mlwilo, yaliyofanyika kwenye kijiji cha Mabanda wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya leo.
Baadhi ya waombolezaji wakishiriki kwenye Mazishi ya aliyekuwa mkurugenzi wa michezo Jeshi la Magereza Tanzania na Kocha wa zamani wa kikosi cha Tanzania Prison, Marehemu Hassan Mlwilo, yaliyofanyika kwenye kijiji cha Mabanda wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya leo.

Mungu ailaze Roho yako Mahala Pema Peponi Mwalimu wangu wa Somo la Jiografia Shule ya Sekondari Bwawani

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)