Malkia wa Kombe la Muungano Timu ya Uhamiaji Yaifunga JKU Kwa 38-- 25 Katika Mchezo wa Mwisho wa Michuano hiyo Iliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Malkia wa Kombe la Muungano Timu ya Uhamiaji Yaifunga JKU Kwa 38-- 25 Katika Mchezo wa Mwisho wa Michuano hiyo Iliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar.

IMG_9817
 Mchezaji wa Timu ya JKU Rose Israel (WA) na Uhamiaji Sofia Komba (C) wakiwania mpira wakasti wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano iliofanyika katika uwanja wa Gmykhana Zanzibar Timu ya Uhamiaji imeshinda kwa mabao 38--25.
IMG_9820
Mchezaji wa Timu ya JKU Dawa Haji (GA) akijiandaa kudaka mpira huku mlizi wa Timu ya Uhaniaji Kachilika Joana (GD) akijiandaa kumzuiya katika mchezo huo.Timu ya Uhamiaji imeshinda 38--25 
IMG_9831
 Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji Skozi Jackline (WA) na JKU Ashura Ramadhani (WD) 
IMG_9842
 Mchezaji wa Timu ya Uhamiaji Mary Banya (GS) akijiandaa kufunga wakati wa mchezo wao na Timu ya JKU uliofanyika uwanja wa Gmykhana Zanzibar. 
IMG_9839

Wapenzi wa mchezo wa Netiboli Zanzibar wakifuatilia mchezo huo wa Ligi Kuu ya Muungano kati ya Uhamiaji na JKU uliofanyika uwanja wa Gmykhana Zanzibar.
IMG_9849
Mchezaji wa Timu ya Uhamiaji Restuta Boniface (WD) akiwa hewani akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Kombe la Muungano uliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar
IMG_9850
 Mchezaji wa Timu ya Uhamiaji Skozi Jackline (WA) akiwa hewani akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Kombe la Muungano uliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar

IMG_9851


IMG_9852
  Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji na JKU wakiwa katika goli la JKU weakiushindikiza mpira golini kuandika bao kwa timu ya Uhamiaji. 
IMG_9838


IMG_9835


IMG_9861
Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji wakishangilia Ushindi wao dhidi ya Timu ya JKU ukiwa ni mchezo wa mwishi kukamilisha Ligi Kuu ya Muungani iliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar kwa kupata ushindi wa mabao 38--25.
IMG_9866
 Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji wakishangilia Ushindi wao dhidi ya Timu ya JKU ukiwa ni mchezo wa mwishi kukamilisha Ligi Kuu ya Muungani iliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar kwa kupata ushindi wa mabao 38--25.
IMG_9871
Kocha Mkuu wa Timu ya Uhamiaji akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kumalizika mchezo wao na Timu ya JKU ya Zanzibar ya kukamilisha Ligi Kuu ya Muungano Mchezo wa Netiboli uliofanyika Uwanja wa Gmykhana Timu ya Uhamiaji imeshida kwa 38--25
Imetayarishwa na Othmanmapara.Blogspot.
Zanzinews.com, . 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages